DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI MAHANDAKI YATAKAYOPITISHA TRENI YA KISASA KILOSA, MOROGORO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 30 June 2020

DK MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI MAHANDAKI YATAKAYOPITISHA TRENI YA KISASA KILOSA, MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Kisasa ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa Mahandaki ya Reli yatakayopitisha Treni ya Umeme Standard Gauge katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Eng. Isack Kamwelwe pamoja na viongozi mbalimbali akiweka jiwe la msingi Ujenzi wa Barabara ya Dumila-Kilosa-Mikumi sehemu ya Rudewa-Kilosa Km 24 katika sherehe zilizofanyika katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na baadhi ya Mawaziri, wakuu wa Mikoa, viongozi mbalimbali, akikata utepe ili kuzindua mitambo itakayotumika katika ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR katika eneo la Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye handaki la Reli ya Kisasa ya SGR lenye urefu wa Km 1.1 ambalo litapitisha treni hiyo katika eneo la milima ya Kilosa mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Kilosa wakati alipowasili katika eneo la ujenzi wa mradi wa miundombinu ya Treni ya Kisasa ya umeme SGR pembezoni mwa mto Mkondoa Kilosa mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment