NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA MATENGENEZO BARABARA ZA GEHANDU-BABATI NA MOGITU-HAYDOM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 18 April 2020

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AKAGUA MATENGENEZO BARABARA ZA GEHANDU-BABATI NA MOGITU-HAYDOM

Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Bw. Joseph Mkirikiti akisikiliza maelekezo ya Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo ya barabara za Genandu-Babati km 105 na Mogitu-Haydom km 68.


Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiru Rwesingisa (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo ya barabara za Gehandu- Babati Km 105 na Mogitu-Haydom Km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara.

Meneja wa Wakala wa Barabara Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiru Rwesingisa (mwenye koti jeusi) akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa alipokagua matengenezo ya barabara za Gehandu- Babati Km 105 na Mogitu-Haydom Km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara.

Muonekano wa Bwawa la Dawari lililosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani Hanang, bwawa hilo lipo katika barabara ya Mogitu-Haydom Km 68 mkoani Manyara.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias Kwandikwa (wa tatu kulia) akikagua matengenezo ya barabara za Gehandu- Babati Km 105 na Mogitu-Haydom km 68 ambazo ukarabati wake unaendelea kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Manyara.

No comments:

Post a Comment