MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU BUNGENI LEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 15 April 2020

MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Kijitoupele, Shamsi Vuai Nahodha, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu  Waziri, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt, Mary Mwanjelwa, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mbunge wa Bukoba vijijini Jason Rweikiza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 14, 2020.  ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment