WAZIRI KAMWELWE AKAGUA MAENDELEO UJENZI DARAJA LA KIYEGEYA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 21 March 2020

WAZIRI KAMWELWE AKAGUA MAENDELEO UJENZI DARAJA LA KIYEGEYA

Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akitoa maelekezo alipokuwa akikagua maendeleo ya ujenzi Daraja la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo - barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenda Dodoma, daraja hilo lilivunjwa na maji ya mvua hivi karibuni.

Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akitoa maelekezo alipokuwa akizungumza jambo alipokagua  ujenzi wa Daraja la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo.

Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akikagua maendeleo ya ujenzi Daraja la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo - barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenda Dodoma, daraja hilo lilivunjwa na maji ya mvua hivi karibuni.

Shughuli za ujenzi zikiendelea katika Daraja la Kiyegeya lililopo wilayani Gairo - barabara kuu ya kutoka Morogoro kwenda Dodoma.

Waziri Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe akikagua maendeleo ya ujenzi Daraja la Kiyegeya.

Licha ya Ujenzi wa Daraja la Kiyegeya unaendelea huduma za kuvusha magari nayo inaendelea eneo hilo, baadhi ya magari yakipita kwenye daraja hilo.

Licha ya Ujenzi wa Daraja la Kiyegeya unaendelea huduma za kuvusha magari nayo inaendelea eneo hilo, baadhi ya magari yakipita kwenye daraja hilo.

No comments:

Post a Comment