RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA BW. GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday 7 March 2020

RAIS DKT MAGUFULI AMUAPISHA BW. GERALD MUSABILA KUSAYA KUWA KATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimokatika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyenzo baada ya kumuapisha Bw. Gerald Musabila Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Ijumaa March 6, 2020.

No comments:

Post a Comment