BASHUNGWA NA DKT NCHIMBI WAJA KIVINGINE KWENYE ZAO LA ALIZETI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday 7 March 2020

BASHUNGWA NA DKT NCHIMBI WAJA KIVINGINE KWENYE ZAO LA ALIZETI


  Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi akimkaribisha Waziri wa  Viwanda na Biashara, Innocent Bachungwa (hayupo pichani) alipotembelea Ofisini kwake leo kwa ajili ya  ziara ya kikazi ya siku moja kukagua  viwanda vya kukamua mafuta ya Alizeti Mkoani Singida (Picha na John Mapepele).
Mmiliki wa  Kiwanda cha Kukamua Mafuta  cha Singida Fresh Oil Mill, Abdallah Omary-Shuru (mwenye kanzu)  akimwonyesha Waziri Bachungwa  (aliyeshika gerani) jinsi mashine zinavyokamua mafuta katikati ni Mkuu wa wa Wilaya ya Singida, Injinia  Paskasi Muragili, aliyeshika  daftari ni Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Singida  Stanslaus Choaji.


No comments:

Post a Comment