MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AZUNGUMZA NA WADAU WA ELIMU WA WILAYA YA RUANGWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 14 March 2020

MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AZUNGUMZA NA WADAU WA ELIMU WA WILAYA YA RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, wakipiga makofi, wakati wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Ruangwa, Lindi. Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 


No comments:

Post a Comment