MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU AFUNGUA MSIKITI WA ANNUR WILAYANI RUANGWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 13 March 2020

MATUKIO PICHA : WAZIRI MKUU AFUNGUA MSIKITI WA ANNUR WILAYANI RUANGWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Masheikh wa Wilaya ya Ruangwa wakati akiwasili kwenye Msikiti wa Annur kushiriki swala ya ijumaa na kuufungua rasmi msikiti huo, uliyojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation, wilayani Ruangwa katika Mkoa wa Lindi Machi 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiweka jibe la msingi kwenye Msikiti wa Annur, uliyojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation, wilayani Ruangwa katika Mkoa wa Lindi Machi 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akihutubia wananchi, kwenye Msikiti wa Annur, baada ya swala ya ijumaa na baadae kufungua rasmi Msikiti huo uliyojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation, wilayani Ruangwa katika Mkoa wa Lindi Machi 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisikiliza mawaidha, yaliyotolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Al-Hikma, Sheikh Sharif Abdulqader, kwenye Msikiti wa Annur aliposhiriki swala ya ijumaa na kuufungua rasmi Msikiti wa Annur, uliyojengwa kwa ufadhili wa Taasisi ya Al-Hikma Foundation, wilayani Ruangwa katika Mkoa wa Lindi Machi 13, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment