MATUKIO PICHA : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KARAKANA KUU YA JWTZ LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM LEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 13 March 2020

MATUKIO PICHA : RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA KARAKANA KUU YA JWTZ LUGALO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na
Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess baada ya kuzindua karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na
Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama kuashiria uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi,  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo na akimpongeza ka hotuba nzuri Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess wakati wa sherehe ya uzinduzi wa karakarana kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  Balozi wa Ujerumani nchini Bi. Regine Hess akikagua sehemu za ufundi wa magari baada ya kuzindua karakarana  kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam leo Ijumaa Machi 13, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali akiwaomba waelimishe umma kuhusu kujikinga na maambukizi ya viurusi vya Corona baada ya kukabidhiwa  karakara kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lugalo jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa leo Ijumaa Machi 13, 2020

No comments:

Post a Comment