MATUKIO PICHA : MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA KWA NJIA YA VIDEO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 21 March 2020

MATUKIO PICHA : MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA KWA NJIA YA VIDEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Afisa Mtendaji  Mkuu wa Kampuni  ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba kabla ya kuanza mkutano kwa njia  ya video na  Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Mikoa na Waganga Wakuu wa Mikoa  akiwa ofisini kwake, Mlimwa jijini Dodoma, Machi  21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wakuu wa Mikoa , Makatibu Tawala wa Mikoa  na Waganga Wakuu wa Mikoa kwa njia ya video akiwa ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Machi 21, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment