MATUKIO PICHA : MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA KMATI ALIYOIUNDA YA KUCHUNGUZA ZO LA KATANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 1 March 2020

MATUKIO PICHA : MAJALIWA APOKEA TAARIFA YA KMATI ALIYOIUNDA YA KUCHUNGUZA ZO LA KATANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea taarifa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati  Maalum aliyoiunda ya kuchunguza zao la mkonge, Gerlad Kusaya  baada ya taarifa hiyo kusomwa  mbele ya Waziri Mkuu katika kikao kati ya Waziri Mkuu na watumishi na viongozi  wa Halmashauri za Mkoa waTanga kilichofanyika  kwenye ukumbi wa hoteli ya Naivera jijini Tanga, Machi 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment