MATUKIO PICHA : MAHAFALI YA 38 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA (CKHT) - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 12 March 2020

MATUKIO PICHA : MAHAFALI YA 38 YA CHUO KIKUU HURIA CHA TANZANIA (CKHT)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Machi 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Machi 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Baadhi ya wahitimu wakisubiria kutunukiwa shahada kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Machi 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wahitimu, kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), yaliyofanyika katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Machi 12, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

No comments:

Post a Comment