RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI ( LAW DAY) . FEBRUARI 06, 2020 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 6 February 2020

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI ( LAW DAY) . FEBRUARI 06, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 6, 2020

 Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma akizungumza mbele ya  Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Februari 6, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa  na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai baada ya hotuba yake kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020 (kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi wa Mashitaka nchini Biswalo Mganga kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Februari 6, 2020.

No comments:

Post a Comment