LORI LA DANGOTE LAIGONGA GARI DOGO NA KUJERUHI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 13 February 2020

LORI LA DANGOTE LAIGONGA GARI DOGO NA KUJERUHI...!

Baadhi ya wananchi akiangalia ajali ya Lori la Dangote baada ya kuigonga gari ndogo aina ya Toyota Hilux iliyotokea eneo la Kiranjeranje, Mkoa wa Lindi. Ajali hiyo ilisababisha dereva wa gari dogo kujeruhiwa. Mashuhuda wanasema ajali hiyo imetokea baada ya roli la Dangote kujaribu kukwepa shimo katika kabla ya kuigonga gari hiyo ndogo.

No comments:

Post a Comment