AMIRI JESHI MKUU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 128 WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ), IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Saturday, 8 February 2020

demo-image

AMIRI JESHI MKUU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 128 WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ), IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

3%25284%2529
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la Heshma lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 kabla ya kuwatunuku Kamisheni kuwa Maofisa katika Cheo cha Luteni Usu katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam

4..
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwatunuku Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

7%25281%2529
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakivalishana vyeo vipya mara baada ya kutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

8%25281%2529
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakila Kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwatunuku Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam.

9
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kundi la 67/19 wakiondoka katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam  mara baada ya kutunukiwa Kamisheni katika Cheo cha Luteni Usu na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *