UHAKIKI WAKIMBIZI DAR WAANZA KWA KISHINDO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 4 December 2019

UHAKIKI WAKIMBIZI DAR WAANZA KWA KISHINDO

Baadhi ya wakimbizi waishio Dar es Salaam wakihudumiwa ili kuhuisha takwimu zao kwenye Ofisi za Shirika la Relief of Development Society (REDOSO), zilizopo eneo la Biafra, Kinondoni.

Baadhi ya wakimbizi waishio Dar es Salaam wakisubiri kuhuisha takwimu zao kwenye Ofisi za Shirika la Relief of Development Society (REDOSO), eneo la Biafra, Kinondoni. (Picha na Veronica Mwafisi).

Afisa Mkuu wa Uendeshaji na Utawala wa Makambi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Stephen Msangi, akifafanua jambo kabla ya kuanza zoezi la uhuishaji takwimu za wakimbizi waishio Dar es Salaam jana, katika Ofisi za Shirika la Relief of Development Society (REDOSO), eneo la Biafra, Kinondoni.

No comments:

Post a Comment