TGNP MTANDAO YAWEZESHA KONGAMANO LA MWAKA LA VIJANA DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 5 December 2019

TGNP MTANDAO YAWEZESHA KONGAMANO LA MWAKA LA VIJANA DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza kufungua Kongamano la Mwaka la Vijana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam, ambalo limeratibiwa na TGNP Mtandao. Ajenda kuu ya kongamano hilo ni 'Ushiriki wa Vijana kwenye uongozi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda'

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (kushoto pamoja na meza kuu) akizungumza kufungua Kongamano la Mwaka la Vijana lililofanyika leo jijini Dar es Salaam, ambalo limeratibiwa na TGNP Mtandao.

Profesa Honest Ngowi akizungumza na vijana kwenye Kongamano la Mwaka la Vijana alipokuwa akiwasilisha mada yake, lililofanyika leo Dar es Salaam na kuratibiwa na TGNP Mtandao huku ajenda kuu ya kongamano ikiwa ni; 'Ushiriki wa Vijana kwenye uongozi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda'.

Sehemu ya vijana wakishiriki kwenye Kongamano la Mwaka la Vijana lililofanyika leo Dar es Salaam na kuratibiwa na TGNP Mtandao huku ajenda kuu ya kongamano ikiwa ni; 'Ushiriki wa Vijana kwenye uongozi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda'.

Kongamano la Mwaka la Vijana likiendelea.

Baadhi ya vijana wakiuliza maswali na kuchangia mada kwenye Kongamano la Mwaka la Vijana.

Sehemu ya vijana wakishiriki kwenye Kongamano la Mwaka la Vijana lililofanyika leo Dar es Salaam na kuratibiwa na TGNP Mtandao huku ajenda kuu ya kongamano ikiwa ni; 'Ushiriki wa Vijana kwenye uongozi na Mapinduzi ya Nne ya Viwanda'.

Baadhi ya vijana wakiuliza maswali na kuchangia mada kwenye Kongamano la Mwaka la Vijana.

Profesa Honest Ngowi akijibu maswali ya vijana kwenye Kongamano la Mwaka la Vijana.

No comments:

Post a Comment