RAIS MAGUFULI AFUNGUA MRADI WA VISIMA VIREFU NA UJENZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI CHATO - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 19 December 2019

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MRADI WA VISIMA VIREFU NA UJENZI WA MADARASA SHULE YA MSINGI CHATO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akifungua moja ya mradi wa Kisima kirefu kilichojengwa katika Shule ya Msingi Chato A-B kwa ufadhili wa Emirates Red Crescent-UAE kwa usimamizi na Utekelezaji wa Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chato A-B Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Madarasa pamoja na Ofisi za Shule ya Msingi Chato A-B ambazo zimejengwa kwa mchango wake mwenyewe Rais Dkt. Magufuli. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali akifungua moja ya mradi wa Kisima kirefu kilichojengwa katika Shule ya Msingi Chato A-B kwa ufadhili wa Emirates Red Crescent-UAE kwa usimamizi na Utekelezaji wa Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chato A-B Chato mkoani Geita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chato katika sherehe za Ufunguzi wa Madarasa yaliyojengwa kwa mchango wake Mhe. Rais Dkt. Magufuli pamoja na mradi wa Visima virefu vya Maji vilivyojengwa na Emirates Red Crescent-UAE kwa usimamizi na Utekelezaji wa Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania zilizofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Chato A-B Chato mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment