RAIS DK MAGUFULI AMTEMBELEA KATIBU WA CCM WILAYA YA MBOGWE, GEITA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 22 December 2019

RAIS DK MAGUFULI AMTEMBELEA KATIBU WA CCM WILAYA YA MBOGWE, GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Gervace Stephano Makoye katibu wa Ccm wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita alipomtembelea ili kumjulia hali nyumbani kwake Chato. Disemba 22, 2019. Bw. Makoye aliyewahi kuwa katibu wa Mhe. Magufuli kwa miaka 10 wakati akiwa Mbunge wa Chato anaendelea na matibabu nyumbani kwake katika Mtaa wa Kalema Chato Mjini Mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment