HARMONIZE NA VIKUNDI VYA UTAMADUNI VYANOGESHA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU NA 57 YA JAMHURI UWANJA WA JAMHURI JIJINI MWANZA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 10 December 2019

HARMONIZE NA VIKUNDI VYA UTAMADUNI VYANOGESHA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU NA 57 YA JAMHURI UWANJA WA JAMHURI JIJINI MWANZA

Msanii Rajabu Abduli maarufu kama "Harmonize" akitumbuiza katika kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019.

Msanii Rajabu Abduli maarufu kama "Harmonize" akitumbuiza katika kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019.

Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mwita Waitara akicheza ngoma na wacheza ngoma ya Litungu ya kabila la Wakurya waliokuwa wakitumbuiza kunogesha Sherehe za Miaka 58 ya Uhuru na 57 ya Jamhuri uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo Desemba 9, 2019.

No comments:

Post a Comment