Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Arusha, Joyce Mukya, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa, Bungeni jijini Dodoma, Novemba 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Novemba 13, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). |
No comments:
Post a Comment