Muonekano wa Jengo la Benki ya NMB lililopo jijini Dar es Salaam.
Heri ya #SikuYaMtotoDuniani
KATIKA kuadhimisha #SikuYaMtotoDuniani, jengo letu la Benki ya NMB Makao Makuu liliwasha taa za bluu kuunga mkono Shirika la uniceftanzania katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 30 ya Mkataba juu ya Haki za Mtoto
Ni wakati wa kuwaunga mkono na kuwawezesha watoto na vijana ambao wanasimamia na kudai haki zao kote Ulimwenguni ni sasa.
No comments:
Post a Comment