BENKI YA NMB YAKABIDHI GAWIO LA SHILINGI BILIONI 10.48 KWA SERIKALI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 24 November 2019

BENKI YA NMB YAKABIDHI GAWIO LA SHILINGI BILIONI 10.48 KWA SERIKALI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mfano wa hundi ya gawio la Shilingi Bilioni 10.48 kwa Serikali kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurungezi wa Benki ya NMB - Margaret Ikongo na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NMB - Ruth Zaipuna (kulia) katika hafla ya upokeaji wa gawio na michango kwa Serikali iliofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma mapema leo. Wakishuhudia kutoka kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango – Dkt. Philip Mpango na Spika wa Bunge la Tanzania -Job Ndugai.
Sehemu ya wageni waalikwa katika hafla ya upokeaji wa gawio na michango kwa Serikali iliofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma mapema leo. 
Picha ya pamoja ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli na viongozi waandamizi wa Benki ya NMB mara baada ya hafla ya upokeaji wa gawio na michango kwa Serikali iliofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma mapema leo. 


No comments:

Post a Comment