Msafara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ukiwa umezungukwa idadi kubwa ya wananchi alipowasili Nachingwea mkoani Lindi. |

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nachingwea mara baada ya kuwasili wakati akitokea Ruangwa.
|

Sehemu ya Wananchi wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli Nachingwea mkoani Lindi.
|
No comments:
Post a Comment