RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIJANA WA KWAYA YA RIGHT ANGELS MORAVIAN CHURCH IKULU NDOGO YA TUNDUMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday 6 October 2019

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIJANA WA KWAYA YA RIGHT ANGELS MORAVIAN CHURCH IKULU NDOGO YA TUNDUMA

Wana Kwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma wakipata chakula katika Ikulu ndogo ya Tunduma walipokaribishwa kuonana na Rais Dkt. John. Pombe Magufuliambaye aliwaita na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo waomzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yake mkoani humo.

Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila wakiwa wameongozana na wanakwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma wakiwasili Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye alikaribisha na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa ziara yeke mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pompe Magufuli na mkewe Mama Janeth Mafuguli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali Nicodemus Elias Mwangela, Mkuu wa Wilaya ya Tunduma Mhe. Juma Irando akiwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe Mhe. David Kafulila na wanaKwaya ya Vijana wa Right Angels Moravian Church ya Tunduma walipokuwa Ikulu ndogo ya Tunduma kuonana na Rais Dkt John. Pombe Magufuli ambaye alikaribisha na kuonana nao baada ya kufurahishwa na wimbo wao mzuri wa kulaani rushwa waliomwimbia wakati wa zira yeke mkoani humo.

No comments:

Post a Comment