RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA FINLAND, UMOJA WA ULAYA NA RWANDA IKULU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 28 October 2019

RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WAPYA WA FINLAND, UMOJA WA ULAYA NA RWANDA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Rwanda nchini Meja Jenerali Charles Karamba kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa  leo Jumatatu Oktoba 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi mteule wa Jamhuri ya Finland nchini Mhe. Riita Swan kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa  leo Jumatatu Oktoba 28, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo na Balozi mteule wa Umoja wa Ulaya (EU) Mhe. Manfredo Fanti baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaa leo Jumatatu Oktoba 28, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment