RAIS DK MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI (NEC) PAMOJA NA MKUU WA ITIFAKI (CHIEF OF PROTOCAL) IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 1 October 2019

RAIS DK MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI (NEC) PAMOJA NA MKUU WA ITIFAKI (CHIEF OF PROTOCAL) IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC), katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kanali Wilbert Augustine Ibuge kuwa Balozi ambaye ameteuliwa leo kuwa Mkuu wa Itifaki Chief of Protocol wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment