Sehemi ya miundombinu iliyoathiriwa na mvua wilayani Muheza na Korogwe mkoani Tanga. |
Sehemi ya miundombinu iliyoathiriwa na mvua wilayani Muheza na Korogwe mkoani Tanga. |
Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mhe. Elias John Kwandikwa akikagua miundombinu iliyoathiriwa na mvua wilayani Muheza na Korogwe mkoani Tanga. |
Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mhe. Elias John Kwandikwa (hayupo pichani) akikagua miundombinu iliyoathiriwa na mvua wilayani Muheza na Korogwe mkoani Tanga. |
Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Mhe. Elias John Kwandikwa akisaidia mafundi kuweka sawa miundombinu iliyoathiriwa na mvua wilayani Muheza na Korogwe mkoani Tanga. |
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhe. Elias John Kwandikwa akiendelea kukagua athari za mvua mkoani Tanga, hapo akiwa tarafa ya Maramba akikagua barabara ya Maramba-Kasera Km 48 ambayo imekatika eneo la Mwanyumba. |
No comments:
Post a Comment