KAMATI YA BUNGE YA PAC YARIDHISHWA NA HESABU ZA SEKTA YA UJENZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 25 October 2019

KAMATI YA BUNGE YA PAC YARIDHISHWA NA HESABU ZA SEKTA YA UJENZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, akijibu hoja za hesabu za Sekta yake mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali  (PAC), jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Nangenjwa Kaboyoka, akitoa maelekezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Arch. Elius Mwakalinga, (hayupo pichani) mara baada ya Sekta yake kuwasilisha taarifa ya hesabu zake mbele ya Kamati hiyo, jijini Dodoma. 

No comments:

Post a Comment