ZIARA YA KATIBU MKUU WA SEKTA YA UJENZI MKOANI SONGWE - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 1 August 2019

ZIARA YA KATIBU MKUU WA SEKTA YA UJENZI MKOANI SONGWE

Katibu Mkuu wa Sekta ya Ujenzi Arch. Elius Mwakalinga, akikagua maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Tunduma mkoani Songwe.

Msimamizi wa ujenzi wa mradi huo Mhandisi Fidelis Cosmas, akimuonesha Katibu Mkuu Arch. Elius Mwakalinga, vipimo vilivyotumika kwenye mradi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya tunduma. Ujenzi huu unasimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).

Katibu Mkuu wa Sekta ya Ujenzi Arch. Elius Mwakalinga, akikagua jengo la Mkuu wa Mkoa wa Songwe linalosimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA).

Katibu mkuu wa sekta ya ujenzi arch. Elius Mwakalinga, akitoa maelekezo kwa meneja wa wakala wa majengo (tba) mkoani songwe, arch. Christina Shayo kuhusu marekebisho kwenye mradi wa ujenzi wa ofisi ya mkuu wa mkoa songwe.

Jengo la ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe likiwa katika hatua ya awali  ujenzi. Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

No comments:

Post a Comment