RAIS DK MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA 18 MWAKA “C” KATIKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 6 August 2019

RAIS DK MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI MISA TAKATIFU DOMINIKA YA 18 MWAKA “C” KATIKA KANISA KATOLIKI LA MTAKATIFU PETRO PAROKIA YA OYSTERBAY DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth Magufuli wakipeana mkono wa Amani na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki walioshiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth Magufuli wakitoa Sadaka zao waliposhiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia Muumini mtoto Rozali takatifu nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment