Kazi ya ujenzi wa barabara ya Lusitu- Mawengi km 50 inayojengwa kwa zege ikiendelea, barabara hiyo ni sehemu ya barabara ya Itoni-Ludewa-Manda km 211.4.
|
Muonekano wa barabara ya Lusitu- Mawengi km 50 inayojengwa kwa zege ambayo ni sehemu ya barabara ya Itoni-Ludewa-Manda km 211.4 mkoani Njombe.
|
Muonekano wa daraja la Mkenda mkoani Ruvuma daraja hilo linaunganisha nchi za Tanzania na Msumbiji kupitia mto Ruvuma.
|

No comments:
Post a Comment