MKATABA UJENZI DARAJA LA KIGONGO-BUSISI MKOANI MWANZA WASAINIWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 30 July 2019

MKATABA UJENZI DARAJA LA KIGONGO-BUSISI MKOANI MWANZA WASAINIWA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleiman Jaffo
 wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakiweka saini  na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam Julai 29, 2019.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo
 wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakibadilishana nyaraka baada ya kuweka saini na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa
Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam Julai 29, 2019.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe akiongea kabla ya kusainiwa kwa Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 katika hafla iliyofanyika makao
makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam Julai 29, 2019.

Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale  akiuelezea Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi  la Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam Julai 29, 2019.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Suleiman Jaffo na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakimsikiliza Mkuu
wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akiongea machache kabla ya Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya
Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.

Mbunge wa Geita Mhe Joseph Kasheku Msukuma akitoa shukrani kwa serikali ya awamu ya Tano kwa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.

No comments:

Post a Comment