MAJALIWA AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA NAMUNGO FC NA KUWAKABIDHI MIPIRA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 30 July 2019

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA NAMUNGO FC NA KUWAKABIDHI MIPIRA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Julai 30, 2019 amekabidhi  mipira ipatayo 30 kwa timu ya soka ya Namungo. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akimkabidhi kocha Mkuu wa timu hiyo, Mroki Chrisswa, moja kati ya mipira hiyo baada ya kuzungumza na wachezaji kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi.  Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na wa pili kulia ni Mkuu wa wilaya ya Lindi Mjini,na kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Shaibu Ndemanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya soka ya Namungo, baada ya kuzungumza nao kwenye hoteli ya Sea View mjini Lindi Julai 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment