Meneja Mwandamizi wa Benki ya NMB Idara ya Biashara Makao Makuu, Bw. Wogofya Mfalamagoha (kulia) akizungumza na wafanyabiashara hao(hawapo pichani). |
Meneja wa Benki ya NMB Kibaha, Hosea Lyatou (kulia) akimpongeza mmoja wa wafanyabiashara (kushoto) mara baada ya kutunukiwa cheti maalum na Benki ya NMB kwa kufanya vizuri zaidi katika biashara yake. |
Mkurugenzi Mtendaji wa True Maisha Training Company, Erick Chrispin aakiwasilisha mada kwenye Kongamano la Wafanyabiashara lililoandaliwa na Benki ya NMB Wilayani Kibaha. |
Meneja Mikopo NMB Kibaha, Alfred Matovelo akizungumza na wafanyabiashara katika kongamano hilo. |
No comments:
Post a Comment