TUZO YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI YAPELEKWA KWA WANANCHI WA MIKOA YA MARA NA SIMIYU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday 19 June 2019

TUZO YA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI YAPELEKWA KWA WANANCHI WA MIKOA YA MARA NA SIMIYU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla akiwa na Wakuu wa Mikoa ya Mara, Adam Malima na wa Simiyu, Anthony Mtaka wakati wa kuionesha kwa wananchi wa mikoa hiyo miwili tuzo iliyopata Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ya kuwa Hifadhi Bora barani Afrika. Wengine Mkuu wa wilaya ya Serengeti Nurdin Babu (kulia) na Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi kanda ya Magharibi, Martin Loibook (kushoto).

Baadhi ya Wananchi waliohudhuria sherehe hizo katika uwanja wa kijiji cha Robanda wilayani Serengeti. 

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka akizungumza katika sherehe hizo zilizo udhuliwa na viongozi mbalimbali zikiwemo kamati za ulinzi na usalama za mikoa ya Mara na Simiyu.

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima akizungumza katika sherehe hizo.

Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi kanda ya Magharibi, Martin Loibook akizungumza katika sherehe hizo alipomuwakilsha Kamishana Mkuu wa Uhifadhi -TANAPA, Dk. Allan Kijazi.

Waziri wa Malisili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akisalimiana na wajumbe wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya  za mikoa ya Mara na Simiyu.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akifurahia jambo na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima wakati akitizama ngoma kutoka kikindi cha wananchi wa jamii ya Maasai  wakati kikitumbuiza katika sherehe hizo.

Kamishna Msaidizi -Mawasiliano TANAPA, Pascal Shelutete aakifanya utamburisho wa viongozi mbalimbali waliofika kwa ajili ya sherehe hizo.

Baadhi ya Viongozi wa idara mbalimbali za serikali za mikoa ya Mara na Simiyu walipata fursa uya kupiga picha na tuzo hiyo kabla ya kupelekwa kwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli.

No comments:

Post a Comment