SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA ATCL LAANZA RASMI SAFARI ZA KWENDA AFRIKA KUSINI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 28 June 2019

SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA ATCL LAANZA RASMI SAFARI ZA KWENDA AFRIKA KUSINI

Picha mbalimbali zikionesha Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikipakia abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka kuanza safari yake ya kwanza ya kuelekea nchini Afrika Kusini tarehe 28/06/2019.

Ndege ya Abiria ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL aina na Airbus A220-300 ikiruka kuelekea nchini Afrika Kusini tarehe 28/06/2019 ikiwa ni uzinduzi wa Safari yake ya kwanza kwenda nchini humo. Picha na IKULU.

No comments:

Post a Comment