MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA MAADILI NA USALAMA PAMOJA NA KAMATI KUU LUMUMBA DSM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 27 June 2019

MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA MAADILI NA USALAMA PAMOJA NA KAMATI KUU LUMUMBA DSM


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli (kulia) akiongoza kikao cha Maadili na Usalama cha chama kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam June 26, 2019.

Kikao cha Maadili na Usalama cha chama kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho kikiendelea Lumumba Jijini Dar es salaam June 26, 2019.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli (katikati) akiongoza kikao cha Maadili na Usalama cha chama kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam June 26, 2019.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohammed Shein mara baada ya kikao cha Maadili na Usalama pamoja na kikao cha Kamati kuu ya Chama hicho  vilivyofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam. June 26, 2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment