VODACOM YAWASAJILI WANAFUNZI UDOM KWA MFUMO MPYA WA ALAMA ZA VIDOLE - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday, 22 May 2019

VODACOM YAWASAJILI WANAFUNZI UDOM KWA MFUMO MPYA WA ALAMA ZA VIDOLE

Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, Michael Mhando na Emmanuel Medukenya wakisajili wanafunzi kwa kutumia mfumo mpya wa alama za vidole katika viwanja vya chuo kikuu cha Dodoma, jijini humo. Hivi karibuni kampuni hiyo imewezesha wafanyakazi wake na vifaa vya kusajilia kwa kutumia alama za vidole ili kurahisisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa wateja wake popote nchini.

No comments:

Post a Comment