VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI ZAWADI ZA LAPTOP KWA WASHINDI WA HACKTHON - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 29 May 2019

VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI ZAWADI ZA LAPTOP KWA WASHINDI WA HACKTHON

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akimkabidhi Kompyuta mpakato (laptop) mwanafunzi wa mwaka wa Tatu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM) Kelvin Boya baada ya kuibuka mshindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackathon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant  Schools” lililofanyika  wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu (Innovation week) jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akimkabidhi Komputa mpakato (laptop) John Alfred ambaye ni mwanamfunzi wa mwaka wa Tatu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, (UDSM) baada ya kuibuka  mshindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini  (Hackathon) lililothaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant  Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu (Innovation week) jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akimkabidhi Komputa mpakato (laptop) Essa Mohamedali mwanafunzi wa  mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM) baada ya kuibuka mshindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini  (Hackthon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu (Innovation week) jijini Dar es Salaam.

 Washindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini  (Hackathon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation  kupitia mradi wa “Instant  Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu (Innovation week) jijini Dar es Salaam, Essa Mohamedali (kulia) John Alfred na Kelvin Boya wote wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wakimsikiliza mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) wakati walipotembelea ofisi za kampuni hiyo ambapo walikabidhiwa zawadi zao za Komputa mpakato (laptop) kila mmoja.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto) akimkabidhi Komputa mpakato (laptop) John Alfred, (katikati) mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DSM) wa pili kulia ni Essa Mohamedali mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo hicho na Kelvin Boya mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, baada ya kuibuka washindi wa shindano la  ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackathon) lililodhaminiwa na  Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu (Innovation week) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni afisa miradi msaidizi wa Instant School, Salome Mtali.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kulia) akiwa  katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM)  Essa Mohamedali, John Alfred na Kelvin Boya  (wapili kushoto) wakati wa hafla ya kuwakabidhi Komputa mpakato (Laptop) walizojishindia katika shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu  vijijini  (Hackathon) lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania Foundation kupitia mradi wa “Instant  Schools” lililofanyika  wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu (Innovation week) jijini Dar es Salaam. Kushoto ni  afisa miradi msaidizi wa “ Instant Schools”  Salome Mtali.

Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kelvin Boya, John Alfred na Essa Mohamedali ambao ni Washindi wa shindano la ubunifu wa Suluhisho la Teknohama ya kufikisha elimu vijijini (Hackathon) lililodhaminiwa na  Vodacom Tanzania Foundation   kupitia mradi wa “Instant  Schools” lililofanyika wakati wa maadhimisho ya wiki ya Ubunifu (Innovation week) jijini Dar es Salaam, wakifurahia Komputa zao mara baada ya kukabidhiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jacquiline Materu (kushoto)  wakati wa hafla iliyofanyika katika makao makuu ya Kampuni hiyo.


No comments:

Post a Comment