TTCL CORPORATION YAIPA SERIKALI GAWIO LA BILIONI 2.1 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 21 May 2019

TTCL CORPORATION YAIPA SERIKALI GAWIO LA BILIONI 2.1


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation, Waziri Kindamba (wa pili kushoto), Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (wa pili kulia) pamoja na  Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omar Nundu (wa kwanza kulia) katika hafla fupi iliyofanyika katika makao makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Corporation, Waziri Kindamba (wa pili kushoto), Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (wa pili kulia) pamoja na  Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omar Nundu (wa kwanza kulia) katika hafla fupi iliyofanyika katika makao makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, TTCL Corporation, Waziri Kindamba. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Moshi Selemani Kakoso (MB).



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakuu wa Mikoa minne nchini kwa njia ya Simu ya Video Conference mara baada ya kuwasili katika   Makao Makuu ya Ofisi za Shirika hilo la TTCL lililopo katika Gorofa la Extelecom Posta jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni mbalimbali waliofika katika hafla ya upokeaji wa Gawio kwa Serikali kutoka kwa Shirika la Mawasiliano TTCL jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, TTCL Corporation, Waziri Kindamba akizungumza na wageni mbalimbali waliofika katika hafla ya upokeaji Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 jijini Dar es Salaam.

Meza kuu katika hafla ya upokeaji Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 iliyotolewa na TTCL jijini Dar es Salaam ikiwa imesimama kuimba wimbo wa taifa kabla ya kuanza kwa hafla hiyo.

Viongozi wa dini wakiwa katika hafla ya upokeaji Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 iliyotolewa na TTCL kwa serikali jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vitendea kazi mbalimbali katika makumbusho iliyopo ndani ya Ofisi za Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL jijini Dar es Salaam.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba mara baada ya kuwasili katika eneo la utoaji wa Gawio katika ofisi za Shirika hilo jijini Dar es Salaam.


Meneja Uhusiano wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Nicodemas Mushi (kulia) akitoa maelekezo mbalimbali katika hafla ya upokeaji Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja kwenye hafla hiyo.


No comments:

Post a Comment