RAIS WA NAMIBIA DK. GEINGOB AMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA RAIS MAGUFULI - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 28 May 2019

RAIS WA NAMIBIA DK. GEINGOB AMWANDALIA DHIFA YA KITAIFA RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akigonganisha glasi na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019 katika dhifa ya kitaifa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Namibia Mhe. Sam Nujoma wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono na RAis Mstaafu wa Awamu ya Pili ya Jamhuri ya Namibia Mhe. Hifikepunye Pohamba  wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto) Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019. Wa pili kushoto ni Rais Mstaafu wa Awamu ya kwanza wa Nchi hiyo Mhe. Sam Nujoma na Kulia na Makamu MWenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula.
Sehemu ya ujumbe na viongozi walioambatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ukiwa katika dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto)  Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019.

Sehemu ya ujumbe wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ukiwa katika dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dr. Hage Geingob (kushoto)  Ikulu jijini Windhoek usiku wa Jumatatu May 27, 2019.

No comments:

Post a Comment