WAZIRI MKUU MAJALIWA AMJULIA HALI DK SALIMN - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 7 January 2019

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMJULIA HALI DK SALIMN

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) akimjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim wakati  alipomtembelea Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam, Januari 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisindikizwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam Januari 6, 2018. Watatu kushoto ni Mama Amen Salim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment