RAIS DK MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAIZRI MKUU MSTAAFU DK SALIM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 3 January 2019

RAIS DK MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WAMJULIA HALI WAIZRI MKUU MSTAAFU DK SALIM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Dk. Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Dk. Salim Ahmed Salim hospitalini Jijini Dar es Salaam, alipomtembelea pamoja na Mkewe Janeth Magufuli ili kumjulia hali.Januari 2 ,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mama Amne Salim (Mke wa Dkt.Salim) ya kumuombea Waziri Mkuu Mstaafu Dkt.Salim Ahmed Salim, walipomtembelea ili kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam. Januari 2 ,2019. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment