MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI KAMPUNI YA TOUCHROAD GROUP YA CHINA, LIEHUI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 19 January 2019

MAJALIWA AKUTANA NA MWENYEKITI KAMPUNI YA TOUCHROAD GROUP YA CHINA, LIEHUI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni  ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui, ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dodoma, Januari 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Mwenyekiti wa Kampuni  ya Touchroad Group ya China, Bw. He Liehui, ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dodoma, Januari 19, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment