Sanii wa muziki aina ya singeli, Man Fongo (kulia) akizungumza mara baada ya kusaini ili kushiriki katika kampeni kubwa ya Rudi Nyumbani Kumenoga inayoendelea mikoa yote ya Tanzania. |
Mkuu wa Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Bi. Mary Kinabo (kushoto) waakilshahisishana. |
Mkuu wa Biashara Mkoa wa Dar es Salaam wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation), Bi. Mary Kinabo na Man Fongo wakizungumza. |
Afisa Masoko Mkuu, wa Shirika la mawasiliano Tanzania (TTCL), Laibu Leornad (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo. |
No comments:
Post a Comment