RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MABALOZI IKULU DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 4 October 2018

RAIS DK MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KWA MABALOZI IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana  na Balozi wa Kuwait hapa nchini Mubarak Mohammad Alsehaijan mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeaana mkono na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kushoto). 
x




No comments:

Post a Comment