RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA, CCT - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday, 7 August 2018

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA, CCT

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania,  Dkt. Jacob Chimeledya, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti  Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT  Canon Moses Matonya baada ya ujumbe wa viongozi  hao kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018. Picha na IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sala na  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)  ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Dkt. Jacob Chimeledya, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti  Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT  Canon Moses Matonya ujumbe wa viongozi  hao ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasindikiza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Dkt. Jacob Chimeledya, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Fredick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT Canon Moses Matonya baada ya ujumbe wa viongozi hao kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.

No comments:

Post a Comment