MAKAMU RAIS, SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 16 August 2018

MAKAMU RAIS, SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA YA SADC

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Watu wa Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018.

No comments:

Post a Comment