KAIMU BALOZI WA MAREKANI TANZANIA DK PATTERSON ATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday, 14 August 2018

KAIMU BALOZI WA MAREKANI TANZANIA DK PATTERSON ATEMBELEA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Inmi Patterson (kushoto) akipokea uwa alilopewa leo, Agosti 14, alitembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na kukutana na Watanzania walionufaika kutokana na ushirikiano wa muda mrefu kati ya taasisi hiyo na Shirika lisilo la Kiserikali la Kimarekani liitwalo Madaktari Africa linalowezesha mafunzo na maendeleo ya kitaalamu kati ya wataalamu wa tiba ya moyo wa Kimarekani na Kitanzania. (Picha: Ubalozi wa Marekani).

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Inmi Patterson (wa pili kulia) akimjulia hali mmoja ya wagonjwa wanaopata huduma katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete katika ziara hiyo, pia alikutana na Watanzania wengine walionufaika kutokana na ushirikiano wa muda mrefu kati ya taasisi hiyo na Shirika lisilo la Kiserikali la Kimarekani liitwalo Madaktari Africa linalowezesha mafunzo na maendeleo ya kitaalamu kati ya wataalamu wa tiba ya moyo wa Kimarekani na Kitanzania. (Picha: Ubalozi wa Marekani).

Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dk. Inmi Patterson aakipata picha ya pamoja mara baada ya ziara yake ya kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete na kukutana na Watanzania walionufaika kutokana na ushirikiano wa muda mrefu kati ya taasisi hiyo na Shirika lisilo la Kiserikali la Kimarekani liitwalo Madaktari Africa linalowezesha mafunzo na maendeleo ya kitaalamu kati ya wataalamu wa tiba ya moyo wa Kimarekani na Kitanzania. (Picha: Ubalozi wa Marekani).

No comments:

Post a Comment